Lugha inayozungumzwa zaidi katika nchi kama Uganda ni Kiingereza. Hata Comoro ambako lugha za visiwa vyake vinne zinalingana na Kiswahili pana haja ya kukifundisha Kiswahili sanifu ili wananchi wengi ...
Ni wakati wa majira ya kipupwe asubuhi katika shule ya chekechea ya mafunzo ya Lugha ya Kihispania mjini London. Wazazi wanawasaidia watoto wao wadogo kuvaa kofia ngumu ili kuwakinga na ajali za ...
Vyombo vya habari vinavyotangaza kwa lugha ya Kiswahili duniani, vimekumbushwa kuzingatia maadili kwa kutamka maneno ya ...
Mja anayeweza kuzungumza vizuri zaidi ya lugha moja hupata faida nyingi katika maisha ya kila siku na kazini. Waja wanaofahamu lugha nyingi hujifunza mengi kuhusu tamaduni nyingine. Wana uelewa wa ...
Agosti 2022, nchi hizo mbili ambazo ni wanachama wa SADC zilitia saini makubaliano hayo kama sehemu ya juhudi za kukuza lugha ...
Licha ya kuwa Lugha ya Kiswahili ,imetambuliwa lugha ya kimataifa ,juhudi za kuikuza bado ni kidogo.Nchini Kenya shirika la kimataifa la Toastmasters ,inayotoa mafunzo kuhusu namna ya kuwasiliana ...